SINGIDA - THE CENTRAL CORRIDOR OF TANZANIA
Singida is centrally located on the mainland. It boarders seven regions namely Arusha, Manyara, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tabora and Shinyanga. It is accessible from Arusha through Babati and Kateshi in Manyara region; Dar es salaam, Iringa and Mbeya through Dodoma and Tabora, Shinyanga and Mwanza through Nzega in Tabora region. Although not all the roads are passable all the year round, they expected to be so in the near future when the connections to Arusha, Dodoma and Mbeya will be tarmac. Otherwise the connection to Shinyanga, Mwanza and Tabora via Nzega is passable all the year round.
Geographical Location
Singida region is located below the equator between latitudes 3052’ and 7034’. Longitudinally the region is situated between 33027’ and 350 26’ east of Greenwich. To the north, it shares borders with Shinyanga region; Arusha, Manyara and on the east borders Dodoma.To the south it shares borders with Iringa and Mbeya while on the west there is Tabora region.
Singida region has a total surface area of 49,438 sq. kms out of which 95.5 sq.kms or 0.19 percent are covered by water bodies of Lake Eyasi, Kitangiri, Singidani, Kindai and Balengida. The remaining 49,342.5 sq.km is land area. Singida region is deemed to be neither small no big. It is the 13thin size and occupies about 5.6 percent of the Tanzania mainland’s total area of 881,289sq.km.
|
|
Read more...
|
|
Maendeleo ya Mtandao wa Barabara
Mkoa una mtandao wa barabara zenye urefu wa jumla ya kilometa 3,918.274. Kati ya hizo kilometa 287.61 zimejengwa kwa kiwango cha lami na kilometa 3,630 ni za changarawe/udongo.
Kati ya hizo barabara kuu ni kilometa 675.1 ambapo kati yake za lami ni kilometa 267.1 na zachangarawe/udongo ni kilometa 408.
Barabara za Mkoa ni jumla ya kilometa 1,020.7 ambapo kati yake kilometa 15.0 ni za lami na kilometa 1,005 ni za changarawe/udongo.
Barabara za Halmashauri zina jumla ya kilomita 2,222.474 ambapo kati yake za lami ni kilomita 5.61 (Manispaa ya Singida) na zilizobaki kilometa 2,216.816 ni za changarawe/udongo.
|
|
Read more...
|
|
Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Mafanikio ya Sekta ya Elimu Mkoani Singida
Hali ya elimu katika Tanzania tangu 1961 hadi 2011 imekuwa ikibadilika kulingana na muktadha wa wananchi, Mkoa wa Singida ni miongoni mwa mikoa 21 ya Tanzania Bara ambayo haikuwa nje ya mabadiliko hayo.
Kumekuwepo na mapinduzi makubwa ya elimu tangu Uhuru wa nchi hii. Mapinduzi hayo yalilitoa Taifa kutokana na Elimu ya Kikoloni iliyo mjenga mtoto na mzazi wake, Shule na kijiji chake, raia na mgeni na kuleta kwenye mapinduzi kamili ya “elimu ya kujitegemea, “Elimu ya Taifa na Elimu kwa wote”.
|
|
Read more...
|
|
|