• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MKUU WA MKOA WA SINGIDA DKT. REHEMA NCHIMBI AWAAPISHA WAKUU WAPYA WA WILAYA MKOANI SINGIDA

Posted on: July 31st, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi leo tarehe 31Julai, 2018 amewaapisha wakuu wapya wawili wa Wilaya  walioteuliwa na Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli tarehe 28 Julai, 2018.


Wakuu wa Wilaya walioapishwa leo katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa mkoa Singida ni Bw. Pasacas Muragiri ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Singida, Bibi. Rahabu Mwangisa Solomon ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Manyoni.

Hafla ya kuapishwa kwa wakuu hao wa Wilaya imehudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe. Miraji J. Mtaturu,  Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhandisi. Jackson Masaka na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Emmanuel Luhahula, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Viongozi mbalimbali wa Chama (CCM), Dini, Wakurugenzi wa Taasisi mbalimbali mkoa Singida, Wawekezaii pamoja na Wakuu wa Idara katika Sekretarieti ya Mkoa.

Akizungumza katika hafla hiyo, Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi amewataka wakuu wa wilaya wateule kwenda kuchapa kazi na kutatua kero za wananchi katika wilaya zao huku wakizingatia kufanya kazi kwa uadilifu na uaminifu.

Dkt. Nchimbi pia amewataka kusimamia ukusanyaji mapato (kodi) ya Serikali na matumizi ya fedha na rasilimali nyingine za umma sambamba na kuhakikisha vitendea kazi vipo (POS Machine), pia  kuhakikisha wananchi wapo salama na pia kuhakikisha wananchi wanafanya kazi za uzalishaji mali.


"Sio vizuri kiongozi anakuja halafu wananchi wanalalamikia tunakero flani  tunakero flani  tunakero flani tunakero flani, inamaana sisi hatutoshi wakati sisi tupo, wakuu wa wilaya wapo, nami sitaki kuonekana sitoshi, NINATOSHA" Amesema Dkt. Nchimbi


Dkt. Nchimbi amewasihi wakuu wa wilaya kutosubiri migogoro iwafuate mezani bali kufuata wananchi pale kwenye migogoro kushughulikia haraka iwezekanavyo. 


"Usisubiri migogoro ikufuate mezani, wewe toka na nenda kaiangalie hiyo migogoro ndio utakapoona na kuifahamu katika uasilia wake, jitihada kubwa ya Serikali ya awamu ya tano, ni kuhakikisha migogoro inatoweka kwa wananchi, tusiruhusu migogoro itokee kwa wananchi" amesema Dkt. Nchimbi.


Aidha amewataka wakuu wa Wilaya kusimamia miradi yote inayotekelezwa mkoani Singida na kuiorodhesha miradi yote inayotekelezwa katika wilaya zao pamoja na kuifuatilia kwa kuzingatia tarehe ya kuanza mradi, thamani ya fedha ya mradi, unatarajia kuisha lini? na hatua zake mbalimbali.


"Wakuu wa Wilaya msisubiri taarifa za maandishi, zimetuchelewesha sana, tupate taarifa za makaratasi lakini kikubwa tunataka taarifa za yanayoonekana kwa macho, tusisubiri mpaka mhusika ametuharibia" alisisitiza Dkt. Nchimbi


Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2018/2019 September 15, 2018
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2019 - MKOA WA SINGIDA December 14, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • SERIKALI MKOANI SINGIDA, IMEAGIZA WANAFUNZI WOTE WALIOFAULU NA KUCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2019 WAHAKIKISHE WANARIPOTI KWA WAKATI KATIKA SHULE ZAO WALIZOPANGIWA HATA KAMA HAWANA SARE ZA SHULE.

    January 10, 2019
  • WAZIRI JENISTA MHAGAMA, AFANYA ZIARA YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA RAIS KUHUSU KIKOKOTOO CHA MAFAO YA WASTAAFU, MKOANI SINGIDA

    January 10, 2019
  • WAFANYAKAZI SINGIDA WAMPONGEZA MHE. RAIS MAGUFULI KWA KUFUTA KIKOKOTOO KIPYA

    January 03, 2019
  • VIONGOZI WA KAMATI YA DINI MBALIMBALI MKOA WA SINGIDA WATOA SALAMU ZA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2019

    December 24, 2018
  • Angalia Zote

Video

Baraza la hoja Mkalama 2017
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida. Haki Zote Zimehifadhiwa.