Posted on: May 31st, 2022
Wakuu wa Idara katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama wametakiwa kufanya kazi kwa kushirikiana na kufuata taratibu za kazi ambazo ndizo zitakazoleta mafanikio ambapo wamekumbushwa kwamba lengo ...
Posted on: May 30th, 2022
Chanzo kutoka tovuti ya TAMISEMI:
PROF. SHEMDOE AZINYOOSHEA KIDOLE HALMASHAURI 8 KWA KUTOKUTENGE FEDHA ZA LISHE
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Prof. Ri...
Posted on: May 28th, 2022
Ushirikishwaji mdogo wa Viongozi wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri katika utekelezaji wa miradi ya TASAF kunasababisha miradi hiyo kutokamilika kwa wakati na kushindwa kufikia maleng...