Posted on: August 10th, 2022
Mwenge wa Uhuru Wilayani Iramba umekamilisha ziara yake kwa kukagua, kuweka jiwe la msingi na kuzindua miradi 6 ikiwa ni pamoja kutembelea vikundi vya wajasiriamali.
Katika taarifa yake Mkuu wa Wil...
Posted on: August 9th, 2022
Mwenge wa Uhuru Mkoani Singida umejipanga kukagua miradi yenye thamani ya Bilioni 8.28 ikiwa ni jumla ya miradi 35 inayohusu Elimu, Afya, Utawala bora, Maji, Barabara na uwezeshaji wa vijana kiuchumi....
Posted on: August 7th, 2022
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa ameridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa jengo la ofisi ya Halmashauri ya Singida Vijijini lililopo Kata ya Ilongero ambako limegharimu kiasi cha fedh...