Posted on: March 23rd, 2022
Mkoa wa Singida unategemea kuvuna tani 580,000 za alizeti katika msimu wa kilimo wa 2021/22 kulikochagizwa na ukopeshwaji wa mbegu zenye ruzuku ya Serikali kwa wakulima wa zao hilo &...
Posted on: March 16th, 2022
Wananchi wa Mkoa wa Singida wametakiwa kuendelea kukarabati majengo ya zamani ya shule na vituo vya Afya vilivyopo mkoani hapo ili majengo hayo yaweze kuendelea kutumika kwa matumizi mbalimbali.
Wi...
Posted on: March 10th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Binilith Mahenge leo ameliapisha Baraza jipya la ardhi la wilaya ya Mkalama baada ya viongozi hao kuteuliwa na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ili kushughulik...