Posted on: January 12th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge amewataka wasimamizi wa mradi wa kilimo cha korosho cha pamoja kufunga akaunti zote za benki pamoja na kusimamisha upokeaji wa fedha kwa ajili ya ugawaji ...
Posted on: January 11th, 2022
Wakulima Kata ya Muhalala Wilaya ya Manyoni mkoani Singida wametakiwa kuongeza kasi ya ununuaji wa mbegu zinazokomaa kwa muda mfupi zikiwemo alizeti, mtama na viazi wakati wakisubiri mvua ...
Posted on: January 10th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge leo amekutana na Viongozi wa wafugaji kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Itigi lengo likiwa ni kutafuta suluhisho la mgogoro wa ardhi inayo endele katika vij...