Posted on: April 27th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi ameziagiza halmshauri zote za Mkoa wa Singida kuanzisha mabwawa ya ufugaji wa samaki ili kutunza mazingira, kuongeza kipato na kuwa darasa la kufundi...
Posted on: April 26th, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo amewaongoza wakazi wa manispaa ya Singida katika kuadhimisha miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kufanya usafi katika sehemu mbalimbali za mji wa ...
Posted on: April 25th, 2017
Wazazi wanaoshindwa kuwapeleka watoto kupata huduma za chanjo wanakiuka haki za binadamu hasa haki ya kuishi na pia wanaenda kinyume na juhudi za serikali za kupambana na maradhi, umaskini na ujinga.
...