Posted on: September 25th, 2023
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023, Abdalla Shaib Kaim amesema kuwa miradi ya maendeleo iliyokaguliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida...
Posted on: September 24th, 2023
MWENGE wa Uhuru 2023 umewezesha kuzindua miradi mbalimbali ya kimaendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida.
Akitoa taarifa ya miradi ambayo imezinduliwa tarehe 24 Septemba, 2023 na Mwenge wa...
Posted on: September 22nd, 2023
MKIMBIZA Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Abdalla Shaibu Kaim amewataka Watanzania kuhakikisha wanakemea vitendo vya rushwa kwa maelezo kuwa rushwa inakwamisha maendeleo ya Mkoa pamoja na Taifa kwa ujumla.
...