Posted on: May 25th, 2023
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga hivi karibuni ametembelea kambi ya vijana wa shule ya msingi iliyopo shule ya Sekondari Mwenge ambapo wanaendelea na mashindano ya UMITASHUMTA yanayoshi...
Posted on: May 19th, 2023
Muongozo wa uendeshaji wa mashamba ya pamoja ya korosho Wilayani Manyoni Mkoani Singida umetolewa rasmi (block farm) ili kuongeza usimamizi na ubora wa zao hilo na tija iliyokusudiwa.
Muongozo huo ...
Posted on: May 18th, 2023
Wakurugenzi wa Halmashauri Mkoani Singida wameaswa kununua vifaa mbalimbali vya ujenzi kwa wafanya biashara wa ndani ya Mkoa huo hasa kipindi hiki ambacho Serikali inajenga vyumba vy...