Posted on: January 31st, 2023
KATIBU Tawala Mkoa wa Singida, Dorothy Mwaluko, ameuagiza Mradi wa Shule Bora unaotekelezwa katika mikoa tisa (9) nchini kutengeneza mfumo wa kutoa mafunzo kwa walimu wa Mkoa wa Singida ili kuinua viw...
Posted on: January 28th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba jana 27.01.2023 ameweka rasmi jiwe la msingi katika ujenzi wa Ofisi ya madereva Mkoani hapo linalotarajiwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 79.6.
...
Posted on: January 25th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba amelishauri Shirika la Kimataifa la Outreach linalo hudumia watoto wanaoishi kwenye Mazingira magumu kuendelea kuwapatia huduma ya chakula na misaada mingine ha...