Posted on: September 19th, 2022
MKOA wa Singida umefanikiwa kuhesabu kaya kwa kiwango cha asilimia 123 na idadi ya majengo kwa asilimia 121 katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Agosti 23, mwaka huu.
Mratibu ...
Posted on: September 13th, 2022
Wananchi zaidi ya 2,000 wa Kijiji cha Kihanju Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni wameishukuru Serikali na Shirika la Water Aid kwa kuwajengea kisima cha kisasa cha maji ambacho kitasaidia kupunguza...
Posted on: September 9th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manyoni kuhakikisha anamaliza mgogoro uliopo wa mashamba ya korosho ambayo wakulima waliuziwa lakini bado hawajao...