• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

RC Mahenge akagua ujenzi wa Vituo Shikizi Itigi

Posted on: January 14th, 2022

Watendaji wa Vijiji na Kitongoji kwa kushirikiana na madiwani pamoja na wananchi wa Mkoa wa Singida wametakiwa kushirikiana ili kufanikisha miradi mbalimbali ya maendeleo  inayotekelezwa maeneo yowazunguka.

Akiongea wakati wa ziara yake iliyofanyika leo katika Kata ya Rungwa Halmashauri ya Itigi, Mkuu wa Mkoa huo Dkt. Binilith Mahenge amesema Serikali imetoa fedha nyingi mkoani hapo ili kutekeleza miradi ya ujenzi wa Mashule, barabara na Vituo vya Afya  ambapo maeneo mengi wananchi wamekuwa wakishiriki kikamilifu shughuli mbalimbali katika miradi hiyo ili ikamilike kwa wakati.

RC Mahenge ametoa wito huo alipotembelea miradi ya ujenzi wa vituo shikizi (shule shikizi) za sekondari na msingi zikihusisha kituo cha  Kudema kilichopo Kata ya Rungwa, kituo shikizi cha Itaga kilichopo kitogoji cha Mkola na Ngirimalale kilichopo kata ya Mwamagembe wilayani Itigi.

Aidha ametumia ziara hiyo kuhamasisha  wananchi kushiriki utekelezaji wa kazi za miradi ambapo RC huyo amejitolea kujenda matundu manne (4) katika vituo viwili vya Kudema na Itaga ambavyo vinagharimu jumla ya Sh. Milioni nne.

Hata hivyo RC ameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kutoa fedha hizo ambazo zimesaidia kuimarisha na kuongeza miundombinu ya elimu wilayani Itigi eneo ambalo shule zilikuwa mbalimbali  na makazi ya watu hivyo kupunguza tatizo la kutembea umbali mrefu .

Naye Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Itigi John Mgalula amemueleza Mkuu wa Mkoa kwamba  vituo hivyo shikizi ni muhimu sana kwa kuwa kituo kimoja kina watoto wapatao 350 hivyo vitawasadia wote wanaokaa mbali na shule na wenye umri mdogo.

Mkurugenzi akamuomba  RC kwamba baadhi ya vituo hivyo kubadilishwa na kuwa shule kwa kuwa fedha zilizotolewa na Serikali zimekuwa msaada mkubwa sana katika kuimarisha miundombinu ya vituo hivyo.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KILIMO CHA MASHAMBA YA PAMOJA YA KOROSHO, WILAYA YA MANYONI – SINGIDA May 02, 2022
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • SINGIDA INVESTMENT GUIDE February 23, 2021
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2022 - MKOA WA SINGIDA December 24, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Shirika la Umeme Tanesco latakiwa kuimarisha ulinzi Katika miundombinu Yao

    May 17, 2022
  • Dkt. Mahenge Atangaza Fursa kwa Wawekezaji Mkoani Singida

    May 14, 2022
  • Madiwani Watakiwa kushiriki kikamilifu zoezi la uwekaji wa Anwani za Makazi na Posti Kodi Wilayani Manyoni

    May 11, 2022
  • Taasisi binafsi zatakiwa kuonesha ushirikiano katika uwekaji wa Anwani za Makazi Manispaa ya Singida.

    May 10, 2022
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida. Haki Zote Zimehifadhiwa.